ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 18, 2013

WAKAZI WA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUIPOKEA TIMU YA MBEYA CITY KWA KUPANDA DARAJA KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

Hivi ndiyo timu ilivyopokelea maeneo ya uyole jijini Mbeya hapa timu ya Mbeya City inapokelewa na mashabiki wake
Ni vituko mtindo mmoja jamaa kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja kushiriki ligi kuu anataka kuvua suruali
Bibi huyu akicheza na kusema sasa tumepata timu yetu hii ndiyo timu ya Mbeya sasa du kumbe wabibi wamo nao kwenye michezo
Chales Mwakipesile Dr Samwel Lazaro na mhandisi wa barabara wakipanga ratiba ya mapokezi
Hivi ndiyo timu ilivyopokelea maeneo ya uyole jijini Mbeya hapa timu ya Mbeya City inapokelewa na mashabiki wake
Watumishi wa jiji la Mbeya wakionyesha furaha yako kwa kucheza kiduku 

No comments: