ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 21, 2013

WATANZANIA WOTE WA NY, NJ, NA CT WAPENDA MAENDELEO YA COMMUNITY MNAKARIBISHWA



Mkutano wa Wanajumuiya wote ili kujadili mambo mbalimbali yahusuyo maendeleo yetu.
Tafadhali usikose kuhudhuria ili sauti yako isikike na ushiriki kikamilifu kuijenga Jumuiya yako imara.

Mkutanao wa Wanajumuiya wote:
Siku: Jumapili, Februari 24, 2013
   Saa: 9 mchana juu ya alama (3pm)
Sehemu:
 2031 Adam Clayton Powell Blvd. (7th Ave. Between 121st and 122nd) New York. Ny 10027,
Phone #212-694-2887
Trains: 2 or 3 uptown Harlem, kituo 125th Street

Ajenda: 
1. Maendeleo ya Jumuiya: ( Evaluation, plan, Financial report & community activities) 
2. Uhamiaji na Ujasiriamali (Immigration & Entrepreneurship) 
3. Nafasi za kazi Tanzania (ikiwemo mafuta na gesi asilia) 
4. Mchakato wa kuchangia maoni ya Katiba mpya ya Tanzania 
5. Uchaguzi wa Jumuiya mwezi Mei, 2013
6. Mengineyo, maswali na majibu
7. Viburudisho na Networking!
Na itaonyeshwa Live stream
Tafadhali tujitokeze kwa umoja wetu
Shabani Mseba
The Secretary i.e
NYTC.

No comments: