Advertisements

Sunday, March 31, 2013

AWILLO LONGOMBA ALA PASAKA DENMARK, ASHUSHA BONGE LA BURUDANI

Awillo Longomba akitafakari aingie kwa staili gani, ilikuwa usiku wa Jumamosi tarehe 30Feb. katika Hall la Below jijini Copenhagen,Denmark
Awillo akipokelewa na Wapenzi wa muziki wake
Pededzee wa jiji la Copenhagen Mr. Mike akimpa maekelezo Awillo Longomba 
Kila aliyejisikia kudansi na Awillo alipata fursa ya kudansi nae
Wapenzi wa Awillo wakiserebuka na kupata picha za kumbukumbu
Kwa hesabu ya harakaharaka huyu kaka alitunza kama $300
Warembo katika ukodak
Kwa picha zaidi bofya read more







No comments: