Bob Junior au mwite Mr Choclate, Usiku wa Ijumaa Kuu aliuwasha moto pale katikati ya jiji la Copenhagen, a.k.a jiji la wastaarabu, show hiyo ilifanyika Haraldsgade 69.
Bob Junior akila pozzzz kabla ya show anakwambia "Hii rangi halisi si ya magadi na utashati hapa ndo mahala pakee jamani nani anabishaaa"
Juu na chini Bob Junior akiwarusha wana Copenhagen
Bob Junior alipandisha watu mizuka kwa wimbo wake wa mdura, palikuwa patumu hapooo....
Mwanamuziki Snaa nae alikuwepo kumsindikiza Bob Junior
Mwanamke kutabasamu ndio mwake
Kijana mtanashati ambaye jana ilikuwa Birthday yake, akiwa na mama pamoja na mrembo Mariam.
Chico Bongo, Sanura na mzee wa kutabasamu katika ukodak
Mama lao Asma wa Chico sambasamba na Lilian, pembeni Mzee Chico mwenyewe walikuwepo kuburudika
Kwa picha zaidi bofya read more
Bob Junior na mwakilishi wa vijimambo Denmark pamoja baba mdogo wa Bob Junior
1 comment:
mmependeza sana
Post a Comment