Advertisements

Friday, March 29, 2013

DIAMOND AACHA HISTORIA KAHAMA

Mapokezi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae yupo top kwa sasa akipata mapokezi ya nguvu mara alipowasili Kahama kwenye ziara yake ya kanda ya ziwa wakati huu wa pasaka
Wadau na mashabiki wa Diamond wakimsindikiza kila alipokwenda mara msani huyo aliopo matawi kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya alipowasili Kahama kwa ajili ya ziara ya kanda ya ziwa
Mashabiki wakipagawa kwa furaha ya kumuona Prezdah wa Bonga Flava.
Diamond akisalimiana na mashabiki wake wa mjini Kahama.
Mashabiki wakilifuata gari alilopanda Diamond.

Jamani mpo tayari Diamond ni Balaa picha za show baadae

1 comment:

Anonymous said...

wengi wao katika picha wanaonekana ni wanafunzi wa kidato cha nne.