Advertisements

Saturday, March 2, 2013

HAPA NA PALE KHANGA MOJA STYLE

Wasanii wanaounda kikundi cha 'Khanga Moja', wakionyesha umahiri wao wa kucheza miondoko ya taarab wakiwa na khanga moja tu,
Hii kumwaga radhi tu ukumbini hapo kila mmoja akionyesha uwezo wake wa kuzungusha mauno kwa staili zake na uwezo wake woooote.
Rapa wa kundi la Taarab la Jahazi Morden, Juma Said 'Domo Kaya' akiwachezesha madada hao wa Khanga Moja jukwaani.

No comments: