
Rais wa Venezuella, Hugo Chaves enzi ya uhai wake
Hugo Chaves, Rais wa Venezuela amefariki leo March 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 58 kwa ugonjwa wa saratani, Rais Hugo Chavas alikua hajaonekana hadhalani kwa miezi kadhaa kutokana na kuzidiwa na ugojnwa huu wa saratani na makamu wa Rais Nicolas Maduro ndie aliyekua ameshikilia madaraka kwa kipindi hicho .
Rais Hugo Chavas kwa mara ya kwanza aligundulika na Saratani na kuwatangazia wananchi wa Venezuela kwenye luninga kutokea Cuba June 10, 2011 na Julai 17, 2011 alirudi tena Cuba kwa matibabu zaidi.
Julai 9, 2012 Rais Hugo Chivas alitangaza kuendelea vizuri na ndipo October 7, 2012 aliamua kugombea na kushinda uchaguzi wa Urais kwa awamu ya pili. Baadae Nov 27, 2012 alitangaza tena kurejea Cuba kwa matibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment