Advertisements

Saturday, March 2, 2013

KUMEKUCHA NA AJALI MBEYA MJINI

Ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo huko maeneo ya njia panda ya kwenda isanga karibu na Hotel ya Lift Valey
Chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana
Hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hyo

PICHA NA MBEYA YETU

No comments: