Moto umeteketeza magala makubwa ya kuhifadhia bidhaa mbalimbali katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam uliodumu kwa zaidi ya saa tano na kusababisha hali ya taharuki kwa wamiliki wa maghala hayo pamoja na wapangaji wa majengo mengine yaliyo karibu na eneo hilo.
No comments:
Post a Comment