Advertisements

Wednesday, March 13, 2013

Mvua kali zaharibu nyumba kadhaa mkoani Mtwara.

Mvua kubwa zilizonyesha mkoani Mtwara zimesababisha nyumba kadhaa mitaa ya Magomeni Matopeni na Nkana-red katika manispaa ya Mtwara/Mikindani kubomoka, zingine kuingiwa na maji na kusababisha hasara kubwa ya mali na maisha ya watu kuwa hatarini

No comments: