Advertisements

Wednesday, March 13, 2013

HUYU NDIYE PAPA MPYA NA WA KWANZA AMBAE HATOKEI ULAYA

Pope Francis I Newly elected Pope Francis I appears on the central balcony of St Peter's Basilica on March 13, 2013 in Vatican City, Vatican. Argentinian Cardinal Jorge Mario Bergoglio was elected as the 266th Pontiff and will lead the world's 1.2 billion Catholics.
Papa Mpya Francis akitokea kwenye kibaraza kwenye kanisa la Mt. Peter mji wa Vatican baada ya kuchaguliwa leo Jumamtano March 13, 2013. Papa Francis ndie Papa wa kwanza kuchaguliwa ambae hatokei Ulaya na amekua Papa wa 266, Cadinali Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina atakaye waongoza Wakatoliki wapatao Bilioni 1.2 Duniani. Aliteuliwa na Papa John Paul II kuwa Cadinali mwaka 2001
Pope Francis I Newly elected Pope Francis I appears on the central balcony of St Peter's Basilica on March 13, 2013 in Vatican City, Vatican. Argentinian Cardinal Jorge Mario Bergoglio was elected as the 266th Pontiff and will lead the world's 1.2 billion Catholics.
Papa Francis akiendesha sala ya kuiombea Dunia kwa mara ya kwanza kama Papa

No comments: