Usije ukawaonyesha ile ya mtoto ktk tenga akipelekwa hospital! Watazimia na kazi utafukuzwa lol! Pia ukikosea tu! Uwaonyeshe ile habari ya watoto kula karanga! Wakachomwa moto midomo na baba yao, hapo wote watakufa tu! Nawe utafia jela kwa man slaughter, be careful don't tell all! Especially kama uko ktk nchi zisizojua shida hizo, hujipendi? Basi thubutu uone.
4 comments:
the mountain view is awsome though
Nimefungua hii picha na kuwaonesha rafikizangu hapa ofisini, wakaanza kulia. Na mimi ikabidi nilie kama wao.
Jamani kama hamna comment za maana si mkae kimya tu, watu wanahangaika huko wanahitaji misaada nyie mnaandika pumba tu.

Post a Comment