Jeshi la polisi mkoani kigoma limelazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto kuwatawanya waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda walioandama na kufunga barabara ya Lumumba mjini Kigoma kupinga maelekezo ya jeshi la polisi hilo, vitendo vya rushwa na unyanyasaji.
2 comments:
Unaulizwa leseni na helmet viko wapi, unajibu ninavyo lakini sikutembea navyo. Halafu ukipewa adhabu unalalamika kuwa umeonewa. Napenda hawa vijana waelimishwe kuwa helmet ni kwaajili ya usalama wao na abiria wao. Nafikiri madhara ya matokeo ya kidato cha nne yameanza kuonekana sasa.
Dj Luke kichwa cha habari na video vitu tofauti kabisaa,comment ya hapo juu pia imeniacha hoi
Post a Comment