Advertisements

Saturday, March 30, 2013

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHMU ADOLAR MAPUNDA

 
Picha ya Marehemu Adolar Barnabas Mapunda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013.  Marehemu Mapnda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa taarifa za familia ya Mapunda, Mazishi yatafanyika Jumatatu katika makaburi ya Kinondoni. Imeelezwa pia kwamba mwili wa marehemu utaletwa nyumbani kwake kesho Jumapili.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa
TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29,
2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiifariji familia ya marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu  Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini
ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wa marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

OMG my boss at TTCL miaka ya 90's jamani. He was such a nice man. mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu.