Annony wa pili,Unasema ulikaa wapi?...Mbona inaonekana wakati wa dinner mlikaa kwenye restaurant au mlitaka mkae kwenye lounge kochi ndo mle dinner?...Sisi tumeelewa kule kwenye Lounge ni VIP wakati wa kudance sio wakati wa dinner.....all in all Namkubali jamaa keep it up brother...off course Event yoyote au kitu chochote hakiwezi kwenda bila kasoro kidogo but thas how u learn to do better.....!
Jamani annony wapili Ulitaka ukae Kwenye Makochi Meupe wakati wakula....hehehehe Pale nasikia Kukaa kule ni Dola 1000,Ila sio wakati wakula niwakati wa club,Ilitakiwa awapeleke kwenye bei rahisi huyo jamaa amekosea sana!!
DJ LUKE NASHUKURU SANA KWA BLOG YAKO NA KAZI YAKO,NAOMBA NIWAJIBU NDUGU ZANGU HAPO JUU. **ANONY WA KWANZA ASANTE SANA NDUGU KWAKUNIKUBALI INGAWA MIMI MWENYEWE NAONA BADO SANA. **ANONY WA PILI NI KWELI NDUGU TULIKAA UPANDE ULE MWINGINE WAKATI WAKULA MAANA ULE NDO UPANDE WENYE DINNER TABLES AND DINNER CHAIRS,ULE UPANDE MWINGINE UNA LOUNGE TABLES NA COACHES AMBAZO SIO MURUA KWA KULIA CHAKULA ILA KWA WAKATI WA KUCHEZA MUZIKI, NDO MAANA KAMA UMENISIKILIZA VIZURI NIMESEMA WATU WATAKUWA WANASPEND HELA ZAO KUKAA VIP NAKUENJOY,NA PALE KILA MEZA YA VIP INAUZWA $1000 KWA WATU WATANO....Also KAMA KAWAIDA WAKATI MWINGINE EVENT INAWEZA KWENDA BILA TATIZO NAWAKATI MWINGINE MATATIZO HUWA YANATOKEA...KWA MFANO CHAKULA KUCHELEWA NA MENGINEYO,DMK GLOBAL INAOMBA TENA RADHI KWA MARA NYINGINE INGAWA TULISHA OMBA NAKUHAIDI SKUINGINE TUTAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA. **ANONY MWINGINE HAPO SAMAHANI SANA KAMA NIMEKUUDHI NAMISIFA KAMA ULIVYOSEMA SKU NYINGINE NTAJITAHIDI KUTOISIFU KAMPUNI YANGU INGAWA NIKAWAIDA KILA MWENYE BIASHARA ANAJISIFU KUWA YEYE NDIYE THE BEST KULIKO MWINGINE..Hata UKISIKILIZA TANGAZO LA HONDA WANASEMA WAO NI BEST KULIKO TOYOTA NI BUSINESS PRINCIPLES TU ILA ASANTE NTAJITAHIDI......KWA SWALA LAKO LA KINGEREZA NDIYO NAKUBARIANA NA WEWE 100% MIMI SIJUI KINGEREZA SABABU SIO LUGHA YANGU,MIMI MZANAKI HATA KISWAHILI NIMEJIFUNZA ,KWAHILO NDUGU NIMEKUSHANGAA KIDOGO ANGALAU NAKIJUA HICHO CHAKUOMBEA MAJI KINANISAIDIA KWENYE VIJISHUGHULI VYANGU HAPA MJINI ANGALAU WAO WAZUNGU HUWA WANANIELEWA SHIDA ZANGU WALA HAWAJAWAHI KUNIAMBIA SIJUI KIINGEREZA MAANA WANAJUA NAJITAHIDI SIO LUGHA YAKWETU MWANA WANE. **ANONY MWINGINE UMESEMA PARTY KAMA YA VISICHANA VYA HIGH SCHOOL ..NASHUKURU SANA KWA MAONI YAKO,DMK GLOBAL ITAYAFANYIA KAZI NA HOPEFULLY SKU INGINE TUTAWEZA KUFANYA PARTY YENYE LEVEL YAJUU KIDOGO KAMA WASICHANA WA COLLEGE LOL.........PIA NAOMBA NIWE CLEAR KIDOGO DMK HAIFANYI PARTY KUSHINDANA NA PROMOTA LIGATE,YULE AMEKUWA KWENYE BUSINESS MUDA MREFU SANA NA ANAFANYA KWA STYLE ZAKE NA DMK INA STYLE ZAKE....DMK IMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKE KWANI AMEKUWA KWENYE GAME KWA MUDA MREFU. **NDUGU WA MWISHO HAPO NASHUKURU SANA, NAKUBALIANA NA WEWE MIMI BADO MWANAFUNZI,I STILL HAVE A VERY LONG WAY TO GO,NATUMAINI MUNGU ATANISAIDIA SKU MOJA NTAFIKIA HIZO DREAM ZANGU ZA JUU KAMA UNAVYO JUA SKU ZOTE YOU HAVE TO DREAM HIGH AND WORK ON IT.. **********NAPENDA NIWASHUKURU WOTE FOR YOUR CONSTRUCTIVE CRITICISM , DMK GLOBAL INASIKILIZA MICHANGO YENU NA ITATUSAIDIA SANA KU MOVE FORWARD AS A COMPANY,KWETU SISI WE TAKE EVERY CRITICISM IN A VERY POSITIVE WAY,TUNAOMBA MWENDELEE KUTOA MAONI YENU HAPA AU KWEMYE EMAIL @ dickson@dmkglobalpromotions.com PIA HAMNA HAJA YA KUJIITA ANONY ANDIKENI MAJINA TU HAISUMBUI WALA NINI LOL !!
10 comments:
DMK nakukubali uko juu kaka
Thats not where we had sitted..tylikaa pembeni kule kwingine..but ilikuwa nzuri even thoigh kasoro ilikuwepo kidogo
Annony wa pili,Unasema ulikaa wapi?...Mbona inaonekana wakati wa dinner mlikaa kwenye restaurant au mlitaka mkae kwenye lounge kochi ndo mle dinner?...Sisi tumeelewa kule kwenye Lounge ni VIP wakati wa kudance sio wakati wa dinner.....all in all Namkubali jamaa keep it up brother...off course Event yoyote au kitu chochote hakiwezi kwenda bila kasoro kidogo but thas how u learn to do better.....!
Wengine wanasema mbali na chakula kuchekewa kulika...pombe ilikuwa nyingi saaaaaaana....Mliokuwepoje ni kweli??
Jamani annony wapili Ulitaka ukae Kwenye Makochi Meupe wakati wakula....hehehehe Pale nasikia Kukaa kule ni Dola 1000,Ila sio wakati wakula niwakati wa club,Ilitakiwa awapeleke kwenye bei rahisi huyo jamaa amekosea sana!!
misifa misupu sema kizungu kizuri
bado lugha inakuchengua
helewa wangu umependeza mashallah keep it up baby wenye wivu na wajinyonge.
NY YULE YULE NY
ile party ilikuwa kama birthday ya visichana vya high school.hatuoni tofauti na promota ligate.
bwana DMK tunategemea siku moja utafikia hiyo dream ya juu, ila kwa sasa bado mwanafunzi.
DJ LUKE NASHUKURU SANA KWA BLOG YAKO NA KAZI YAKO,NAOMBA NIWAJIBU NDUGU ZANGU HAPO JUU.
**ANONY WA KWANZA ASANTE SANA NDUGU KWAKUNIKUBALI INGAWA MIMI MWENYEWE NAONA BADO SANA.
**ANONY WA PILI NI KWELI NDUGU TULIKAA UPANDE ULE MWINGINE WAKATI WAKULA MAANA ULE NDO UPANDE WENYE DINNER TABLES AND DINNER CHAIRS,ULE UPANDE MWINGINE UNA LOUNGE TABLES NA COACHES AMBAZO SIO MURUA KWA KULIA CHAKULA ILA KWA WAKATI WA KUCHEZA MUZIKI, NDO MAANA KAMA UMENISIKILIZA VIZURI NIMESEMA WATU WATAKUWA WANASPEND HELA ZAO KUKAA VIP NAKUENJOY,NA PALE KILA MEZA YA VIP INAUZWA $1000 KWA WATU WATANO....Also KAMA KAWAIDA WAKATI MWINGINE EVENT INAWEZA KWENDA BILA TATIZO NAWAKATI MWINGINE MATATIZO HUWA YANATOKEA...KWA MFANO CHAKULA KUCHELEWA NA MENGINEYO,DMK GLOBAL INAOMBA TENA RADHI KWA MARA NYINGINE INGAWA TULISHA OMBA NAKUHAIDI SKUINGINE TUTAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA.
**ANONY MWINGINE HAPO SAMAHANI SANA KAMA NIMEKUUDHI NAMISIFA KAMA ULIVYOSEMA SKU NYINGINE NTAJITAHIDI KUTOISIFU KAMPUNI YANGU INGAWA NIKAWAIDA KILA MWENYE BIASHARA ANAJISIFU KUWA YEYE NDIYE THE BEST KULIKO MWINGINE..Hata UKISIKILIZA TANGAZO LA HONDA WANASEMA WAO NI BEST KULIKO TOYOTA NI BUSINESS PRINCIPLES TU ILA ASANTE NTAJITAHIDI......KWA SWALA LAKO LA KINGEREZA NDIYO NAKUBARIANA NA WEWE 100% MIMI SIJUI KINGEREZA SABABU SIO LUGHA YANGU,MIMI MZANAKI HATA KISWAHILI NIMEJIFUNZA ,KWAHILO NDUGU NIMEKUSHANGAA KIDOGO ANGALAU NAKIJUA HICHO CHAKUOMBEA MAJI KINANISAIDIA KWENYE VIJISHUGHULI VYANGU HAPA MJINI ANGALAU WAO WAZUNGU HUWA WANANIELEWA SHIDA ZANGU WALA HAWAJAWAHI KUNIAMBIA SIJUI KIINGEREZA MAANA WANAJUA NAJITAHIDI SIO LUGHA YAKWETU MWANA WANE.
**ANONY MWINGINE UMESEMA PARTY KAMA YA VISICHANA VYA HIGH SCHOOL ..NASHUKURU SANA KWA MAONI YAKO,DMK GLOBAL ITAYAFANYIA KAZI NA HOPEFULLY SKU INGINE TUTAWEZA KUFANYA PARTY YENYE LEVEL YAJUU KIDOGO KAMA WASICHANA WA COLLEGE LOL.........PIA NAOMBA NIWE CLEAR KIDOGO DMK HAIFANYI PARTY KUSHINDANA NA PROMOTA LIGATE,YULE AMEKUWA KWENYE BUSINESS MUDA MREFU SANA NA ANAFANYA KWA STYLE ZAKE NA DMK INA STYLE ZAKE....DMK IMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKE KWANI AMEKUWA KWENYE GAME KWA MUDA MREFU.
**NDUGU WA MWISHO HAPO NASHUKURU SANA, NAKUBALIANA NA WEWE MIMI BADO MWANAFUNZI,I STILL HAVE A VERY LONG WAY TO GO,NATUMAINI MUNGU ATANISAIDIA SKU MOJA NTAFIKIA HIZO DREAM ZANGU ZA JUU KAMA UNAVYO JUA SKU ZOTE YOU HAVE TO DREAM HIGH AND WORK ON IT..
**********NAPENDA NIWASHUKURU WOTE FOR YOUR CONSTRUCTIVE CRITICISM , DMK GLOBAL INASIKILIZA MICHANGO YENU NA ITATUSAIDIA SANA KU MOVE FORWARD AS A COMPANY,KWETU SISI WE TAKE EVERY CRITICISM IN A VERY POSITIVE WAY,TUNAOMBA MWENDELEE KUTOA MAONI YENU HAPA AU KWEMYE EMAIL @ dickson@dmkglobalpromotions.com PIA HAMNA HAJA YA KUJIITA ANONY ANDIKENI MAJINA TU HAISUMBUI WALA NINI LOL !!
Post a Comment