ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 22, 2013

TAARIFA KWA WANACHAMA

                                                                                                                                                             1.NAPENDA KUWARIFU KUWA WANACHAMA WOTE WALIO NA KADI WAMUONE KATIBU WA TAWI KATIKA ZOEZI LA KUZIORODHESHA KADI ZOTE

2 NAPENDA KUWATANGAZIA KUWA TUNAWAKARIBISHA WALE WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA NA CHAMA WAKATI NI HUU NA WALE WANACHAMA WALIOPOTEZA AU KUSAHAU KADI ZAO NYUMBANI TANZANIA WAMUONE KATIBU WA TAWI NDUGU KINYEMI SIMU NO. 202-629-7841 ATAWAELEKEZA UTARATI BU WA KUFUATA NAFASI NI HII

3 NAPENDA KUWAARIFU WANACHAMA WOTE KUWA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI YA SIASA TUTATOA UTARATIBU UTAKAOTUMIKA KUJAZA NAFASI ZA VIONGOZI ZILIZOACHWA WAZI AHASANTENI

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 TAARIFA HII IMETOLEWA NA KATIBU
 MWENEZI NA ITIKADI C C M TAWI LA DMV
 NDUGU SALIMA MOSHI
 SIMU NO 301-312-5526

No comments: