ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 20, 2013

TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Gallus Bohela inasikitika kutangaza msiba wa mama yao uliotokea Tanzania.
 Kama ilivyo mila na desturi yetu tujumuike na familia ya  
Gallus Bohela kwa mkono wa pole

Address: 3901 suitland rd apt 1506
Suitland md 20746

Pia unaweza kumpigia simu 
Gallus Bohela (202) 595-5475
        Sekela   240 440 0803
        Teddy    301 455 5524
Mipango ya mazishi inafanywa Dar Es Salaam, Tanzania taarifa zingine zitafuata
Ukipata taarifa hii tafadhali mtaarifu mwenzio.
Asante

No comments: