
Mmoja ya wanamuziki waliotiafora kwenye utamaduni wa Mwafrika katika tasnia ya muziki uliofanyika Chuo Kikuu cha Staford kilichopo California nchini Marekani na kuwavutia watu wengi chuoni hapo na maeneo ya jirani.

shabiki akipanda jukwaani kuyarudi mangoma

Mashabiki wakicheza pamoja na msanii

Mlimbwende katika vazi la Kiafrika

Mwanamuziki akipata picha ya pamoja na Walter (kati) pamoja na Tom (kulia)

Walter Minja akiwa na patna wake katika picha ya pamoja na msanii

Kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza Chuoni hapo.

Walter akipata picha ya pamoja na wadau wengine wa California
kwa picha zaidi bofya read more



Picha kwa hisani ya Walter Minja, mwakilishi wa Vijimambo Calfornia
No comments:
Post a Comment