Pichani ndio alioka akiendesha gari hio Alexis Cayson, 17, na kulia ni mmoja ya abiria Andrique Bennett, 14, were among the six teenagers killed in the car crash.
Kama tunaovyoona pichani hawa ni watoto sijui vijana kwa kizungu ndio wanaitwa tineja Jumapili hii ya jana/juzi saa moja asubuhi wamejikuta umauti ukiwafika bila kutarajia jijini Ohio wakiwa ndani ya SUV ya watu walioichukua bila kupewa . Vijana hawa waliokua nane walipata ajali baada ya gari walilokuwemo kuluzi kontrol na kuacha njia na kuingia kwenye bwawa ambapo sita kati yao walifariki hapo hapo. Wawili kati yao walinusurika baada ya kuweza kuvunja madirisha ya gari hio na kujitahidi kuogelea mpaka sehemu yenye usalama na hatimae kukimbia kuomba msaada kwa ajili ya kuokoa maisha ya wenzao lakini juhudi zao hazikufanikiwa kwani gar ilianguka na kupinduka juu chini na hivyo kuwabana hawa vijana wengine na kusababisha vifo vyao hapo hapo.
Ramone White, 15, and 14-year-old Brandon Murray pia ni kati ya wale waliopoteza maisha
Brian Henry ndio mhanga alienusurika na this terrible tragedy, na mwenzaka ambae hakuweza kupatikana haraka... Brian nasema ajali ilipotokea aliumia vibaya na kupoteza fahamu, lakini maji yalipoanza kuingia ndani ya gari ndio yaliyomzindua na kumwamsha na ndio alipoanza harakati za kujiokoa mbapo alijaribu kuvunja kioo /vioo vya gari hio zaidi ya mara 6 bila mafanikio na anadai kidogo na yeye akate tamaa but alijaribu one more time vio vikapasuka na yeye na mwenzie kuweza kutoka eneo hilo karaka sana.
Jamaa pichani ndio inasemekana ndio mwenye gari ambae hana undugu na hawa vijana hata kidogo, aliripot kuwa gari yake imeibiwa, kumbe masela ndio walikua wameichukua, sasa hata mi sijui ni jirani zake au walimuibia kwa nia ya kwenda kujirusha na kumrudishia au waliliiba mazima mazimaa ila ndio hivyo tena haikua rizki..
Eneo la tukio watu walipita kuacha maua na midoli kuwakumbuka rafiki zao waliopoteza maisha eneo hilo, huku baba wa mmoja wa marehemu akionekana kufatilia tukio kwa majonzi sana..
marafiki waliendelea kuleta midoli na maua...
Vijana hawa inasemekana walidanganya wanaenda kusleep over kwa each other like huyu anaaga naenda kulala kwa kina flani na, mwenzie nae kaaga hivyo hivyo kwao kumbe walikua wanaenda kwenye party... .. bi dada aliekua anendesha inasemekana alikua amekunywa ila uchunguzi ndio unaendelea na police ndio watathibitisha hilo...................
**********************************
USHAURI WA BURE: VIJANA NYIE MA-TEENAGER POPOTE PALE MLIPO JAMANI KUWENI MAKINI NA MAISHA YENU, MAANA HATA NIKIWAAMBIA MSIENDESHE HUKU MMELEWA HAMTANISIKILIZA, BUT AM JUST SAYING KUWENI MAKINI NA LIFE ZENU IT IS VERY VERY VERY SAD KUONA MTOTO WA MIAKA 14,15,16 .......AMEPOTEZA MAISHA KTK STYLE HII SIJUI NA SIDHANI KAMA HUU NI MPANGO WA MUNGU.....INAUMA SANA MWEEH....
No comments:
Post a Comment