Watoto wawili Morogoro wafanyiwa ukatili na baba yao.
Watoto wawili wa darasa la tatu na darasa la kwanza katika shule ya msingi Msamvu B ya mjini Morogoro wamefanyiwa ukatili kwa kupigwa kisha kuchomwa midomo kwa mkaa wa moto na baba yao mzazi baada ya kuwatuhumu kula Karanga.
No comments:
Post a Comment