Mchungaji akitoa neno la Mungu kwa waombolezaji.
Mchungaji akitoa neno la Mungu kwa waombolezaji.
Mwili wa marehemu Jenifa ukiingizwa ndani.
Muwakilishi kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa, Daniel, akitoa salamu za rambirambi.
Waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu Jenifa Msigwa.
MMOJA wa majeruhi wa milipuko wa mabomu ya Mbagala uliotokea miaka miwili iliyopita na kubaki na vipande vya mabomu mwilini, Jenifa Msigwa, amefariki dunia.
Jenifa ambaye vipande hivyo vilimsababishia mwili kupooza kuanzia kiunoni mpaka miguuni alifariki Aprili 8 mwaka huu baada ya kuzidiwa ghafla akiwa nyumbani. Marehemu amezikwa jana katika makaburi ya Mburahati baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwa baba yake Urafiki jijini Dar es Salaam.GLP
No comments:
Post a Comment