Advertisements

Sunday, April 21, 2013

Azam FC yakamatwa na Wamorocco


Mshambuliaji wa Azam Fc, John Boco, akiwatoka mabeki wa Far Rabat ya Morocco, wakati wa mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu, Kombe la Shirikisho Afrika, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo jioni. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka suluhu 0-0, huku waarabu hao wa Morocco, wakijigamba kufanya kweli katika mchezo wa marudiano ambao wao watakuwa wenyeji huko kwao. Picha na Bin Zubeiry

Kipre Tchetche wa Azam (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa AS Far Rabat, Yassine El Kordy katika mchezo wa Kombe la Shirikisho jana. Picha na Michael Matemanga 

No comments: