Advertisements

Sunday, April 21, 2013

VANESSA MDEE : COLLABO NILIZOOMBWA TANGU NITOE CLOSER NI ZAIDI YA 10

Kupitia kipindi cha top 20 cha Clouds Fm, msanii mpya Vanessa Mdee amekubali kupokea request nyingi kutoka kwa wasanii wakimtaka kufanya nao kolabo, na katika request alizopata tangu kutoa ngoma yake inayofanya vizuri "closer" hazipungui 10 yaani ni zaidi ya 10

"aaam, unajua watu wanapenda vitu vipya vitu tofauti, so namshukuru mungu nimepata ofa, yah kwangu mimi its an offer, when mtu anataka kukuweka kwenye chorus yake, cause mimi mwenyewe nimetoka kwenye you know pamoja na kusaidiwa na chorus ya AY na Ommy, so i understand how beautiful it is kuombwa kufanya kolabo nahisi zimekuwa nyingi, namshukuru mungu kwamba watu wameanza kuelewa kipaji changu, na kuweza kunikubali mimi kama msanii, kama labda may be ten, zaidi ya kumi labda, lakini yeah hazipungui kumi" amesema…

No comments: