ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 20, 2013

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA USTAWI WA JAMII

IMG_9933Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii   Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, IMG_9935Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii   Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, (hawapo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, IMG_9939Baadhi ya watendaji na Maofisa katika Wizara ya Ustawi wa Jamii   Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, wakiwa katika mkutano na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi zaWizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments: