NICE LOOK OF DAR ES SALAAM CITY at midnight
Kituo Cha Polisi Salenda - Jijini Dar es Salaam
BIBI TITI AND MOROGORO JUNCTION -DAR ES SALAAM
Hizi ni nyongeza nyingine muhimu katika sura ya Jiji la Dar es Salaam. Jengo lenye column ya blue ni la Utumishi, na ile nguzo kule mbele ni Nguzo ya kuongozea meli wakati zinaingia au kutoka bandarini
Ni ile iliyokaribu na mnara wa askari
Mnara wa askari,
Jengo hili lipo maeneo ya Upanga jiji la Dar es Salaam
Wamaasai na mila zao Jiji la Dar.
Jengo hili nimeliona kule Mtaa wa Samora Jiji la Dar
UHURU TOWER -Jengo moja zuri sana lingali bado lajengwa ... ni katikati ya jiji la Dar es Salaam. Naona wachina wamekula tenda na wanakimbiza.
Ppf Tower
Kwa Ndani pale QUALITY CENTRE Jijini Dar es Salaam
Shoppers Plaza
Peugeout House
INTER HOUSE Kijitonjama
Millenium Tower Kijitonjama
Na hizi ni Boda boda
TCRA along Samjom Rd
MTAA WA OHIO - JIJINI DAR ES SALAAM, KWA UZUUUURI KABISA
Bado lina mvuto wa kipekee na linashikilia historia katika majengo ya katikati ya mji wa Dar.
Hoteli ya Holiday Inn, maeneo ya posta mpya.
Ubungo Mida ya Asubuhi mapema kabisa..... Mabasi ndio yanatoka kwenda Mikoani
MWENGE,KITUO CHA DALADALA SOKO UMOUMO.........KAZI NI KWAKO
Dariri ya mvua na kukinyesha angaria madhara yake hiyoo ndiyo bongo.
1 comment:
Wazalendo hali bado si nzuri , kazi iko.
Post a Comment