Advertisements

Tuesday, April 30, 2013

HAPA NA PALE TANZANIA PLACE COMING SOON IN BROOKLYN NY EVERY SATURDAY NIGHT MUSIC FROM BEST DJ'Z IN NEW YORK CITY DJ' MAO, DJ DAVE AND DJ BILAL


.
Hii ni sehem ya vinywaji ndani ya kiota hicho kitakacho julikana kwa jina la (TANZANIA PLACE) kutakuwa kunapatikana music wa kitanzania kutoka kwa madj wetu New York. Watanzania wote mnakaribishwa katika kiota hiki kipya kuja kuburudika na music wa kitanzania kila jumamosi 
 3294 Atlantic Ave Brooklyn. NY 11208
Ni sehem ya kuchezea music ndani ya kiota hicho kama unavyowaona wadau wakipata ukodak

2 comments:

Anonymous said...

misifa mishifa ebwana eeeh

Anonymous said...

dj bilal yeye si anapenda taarabu na pia akishikilia musiki anaoupenda basi ndo huo huo sasa najiuliza huu udj kaupatia wapi