INABIDI HUYO MNYAKYUSA APUNGUZE JAZIBA.PIA ANATAKIWA KUSIKILIZA WENZAKE.DOTTO NA JABIRI WANAMSIKILIZA WAKATI AKIONGEA KWANINI YEYE ANAINGILIA WENZAKE WAKIONGEA.OTHER THAN THAT.GOOD TOPIC. MDAU WA VIJIMAMBO.
Hii topic ya madaktari kugoma naomba niichangie.Kwanza madaktari waligoma sababu yao kwanza ilikuwa vitendea kazi achilia mbali maslahi.Mfano kumzalisha mama mjamzito inahitaji shilingi elfu arobaini(40,000.00tsh) kwa kutumia disposable materials badala ya kutumia gloves hizo hizo zaidi ya mara moja kwa mgonjwa mwingine ambapo utamsababishia mama mjamzito infection ambayo itahitaji zaidi ya laki moja(100,000.00tsh)kutibu hiyo infections,kwa mantiki madaktari walibidi wagome sababu mazingira ya kufanyia kazi hayaridhishi na yanaenda kinyume cha kiapo chao. huu ni mmoja tu wa mfano nimejaribu kuwapa badala ya kuwatupitia lawama moja kwa moja. nafikiri ni vizuri kuchambua tatizo badala ya kuanza kulaumu.naishia hapa kwa wale asanteni kwa mjadala huo uliyonigusa nikaona ni vizuri nichangie kidogo.
Waambiye Bazee Benja, Nimetoka kiwanja ila bongo ni usexxx, mara maghorofa, mara kifusi, mara chadema ni wakristo,aah tired!!! nakuja kumrudia mama wangu wa Kinugu. From Marangu with Love!!
9 comments:
Jabir naona kijiwe kimekufanya uwe too comfortable... kitumbo na mashavu kaka fanya mazoezi
piga ua galagaza, ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA, u will need it at some point in your life!
haina haja ya kutoa mtu kutoka nyumbani hizo ndio kazi na majukumu ya balozi za nje,kufuatilia masuala ya wananchi wake wakiwamo hao wanafunzi.
INABIDI HUYO MNYAKYUSA APUNGUZE JAZIBA.PIA ANATAKIWA KUSIKILIZA WENZAKE.DOTTO NA JABIRI WANAMSIKILIZA WAKATI AKIONGEA KWANINI YEYE ANAINGILIA WENZAKE WAKIONGEA.OTHER THAN THAT.GOOD TOPIC.
MDAU WA VIJIMAMBO.
benja una mvi sio uzee nakupenda sana unamiaka 37 bado mdogo sana please benja wacha ujinga
ilove you yasin sana pont zako unanifurahisha sana
Hii topic ya madaktari kugoma naomba niichangie.Kwanza madaktari waligoma sababu yao kwanza ilikuwa vitendea kazi achilia mbali maslahi.Mfano kumzalisha mama mjamzito inahitaji shilingi elfu arobaini(40,000.00tsh) kwa kutumia disposable materials badala ya kutumia gloves hizo hizo zaidi ya mara moja kwa mgonjwa mwingine ambapo utamsababishia mama mjamzito infection ambayo itahitaji zaidi ya laki moja(100,000.00tsh)kutibu hiyo infections,kwa mantiki madaktari walibidi wagome sababu mazingira ya kufanyia kazi hayaridhishi na yanaenda kinyume cha kiapo chao. huu ni mmoja tu wa mfano nimejaribu kuwapa badala ya kuwatupitia lawama moja kwa moja. nafikiri ni vizuri kuchambua tatizo badala ya kuanza kulaumu.naishia hapa kwa wale asanteni kwa mjadala huo uliyonigusa nikaona ni vizuri nichangie kidogo.
Waambiye Bazee Benja, Nimetoka kiwanja ila bongo ni usexxx, mara maghorofa, mara kifusi, mara chadema ni wakristo,aah tired!!! nakuja kumrudia mama wangu wa Kinugu.
From Marangu with Love!!
Yassini Manyoka ana POINT. YOU CAN'T BEAT EDUCATION.
Post a Comment