Hongera sana washiriki wa kipindi hiki,mliyoongea ni ya muhimu na yakuelimisha jamii!ushauri wangu ni mdogo tu!kunywa bia mnaruhusiwa ila jaribuni kuziweka ktk vikombe/glass za rangi ili watu wasichukulie hoja si za ulevini,hata watoto wetu tuangalie nao kipindi hiki.huyo Randi naona ana speed sana ya bia lol!!aiweke ktk glass ya rangi,
1 comment:

Post a Comment