ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 9, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

8 comments:

Anonymous said...

EBWANEE, LEO MIMI NAKUBALIANA SANA NA BENJA, KWANINI WA ASIA NA MAKABILA MENGINE WANALEA WATOTO WAO KUTOKANA NA MILA ZAO NA SISI TUNASHINDWA.

DENMARK, TEACHER said...

BENJA UMENIFURAHISHA SANA ULIYOYASEMA YANAUKWELI TENA NA MIMI NAKUBALIANA NA BENJA WATANZANIA TUMEJISAHAU SANA.
ANY WAY BILA WEWE KIPINDI HAKITANOGA

Anonymous said...

Fimbo hailei. Pesa hazilei. Kinacholea ni muda mzazi anaotumia na mtoto. Mzazi atmwelewa mtoto, kadhalika mtoto atamwelewa mzazi. Urafiki utajengeka. Lakini baba wengi wa Bongo kutwa ni kutafuta visichana na nyama choma. Saa ngapi atatumia muda na mtoto? Hakuna mtoto atakulelea mtoto wako, hata kama ni mwalimu.

mdau said...

Kipindi ni burudani kila jumanne,ila tunaomba kina dada waalikwe waweze kutoa michango yao.

baraka daudi said...

BIG UP!!!!! KIJIWE CHA UGHAIBUNI; KIDS ARE LEARNING NOT FROM WHAT U TOLD THEM,BUT FOR WHAT THEY SEEN FROM THE PARENTS.I LOVE THIS TOPIC.

Anonymous said...

Yes Dj. Anzisha cha kinadada ss kika Friday, nikupashe shoga yangu

Anonymous said...

BENJA BENJA BENJA 4 LIFE MWISHO WA MCHEZO.....TWENDE KAZI. HUMU MKILETA MADEM WATALETA UMBEA NA MAJUNGU..HUMU TUNATAKA MASELA TU.BIG UP WANYAMWEZI.

Anonymous said...

big up kijiwe cha ughaibuni benja mwanangu umetulia tulia this time umejaribu kuwasikiliza wenzako lakin zilivyokupanda ukacharuka nimependa ulivyo tulia mwanzo mwanzo na una point baba unachangia kisawa sawa na mada zako poa big up my man

na jabir please mbona kila mara huwandiki wengine majina yao,cheupe jamaa wa katika kati mbona hata jina hatumjui kulikoni