Advertisements

Friday, April 26, 2013

MSIBA NEW JERSEY/ NEW YORK NA TANZANIA

Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende Enzi ya uhai wake
Watanzania waishio New Jersey na New York City wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende. kilichotokea Livingston, NJ. Jumatano tarehe 24. Wanaomba watu wajumuike nao katika kuchangisha na hatimae kuwezesha kumsafirisha marehemu kwa mazishi Tanzania.
Tunaomba msaada wako wa hali na mali popote pale ulipo, mzigo huu ni wetu na Adollph ni ndugu yetu, Jamaa yetu, rafiki yetu, mpendwa wetu na Mtanzania mwenzetu. kwa pamoja tunaweza. Kama upo New Jersey, New York na majimbo ya jirani.
msiba upo
374 Hawthone Terrace,
Mount Vernon, NY 10552

Unaweza kutuma mchango wako kupitia BANK OF AMERICA # 483033242384 Route # 02100032 jina la a/c Peter Luangisa 

Kwa Mawasiliano na maelekezo piga simu 
Meshack Balira at rome1794@AOL.com  763-464-3940.
Rahma Adam (617) 818-7657.
Peter Luangisa (917) 681-6971 
Rashidi Kamugisha (973) 703-4596 
Bernard Kivugo (973)580-7166 
William Vedasto (973)551-2916

UKIPATA UJUMBE TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO

No comments: