ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 20, 2013

MTUHUMIWA #2 YUPO HOSPITALI BADO HAJASHITAKIWA

Kutokea kukamatwa kwa jana kwa mtuhumiwa #2 na kutokana na kuumia kwake mguu ilibidi akimbizwe hospitali kwa matibabu, mpaka sasa bado hajashitakiwa na kama atapatikana na hatia wataalamu wa kesi kama hii wamesema hukumu yake inaweza kuwa kifo lakini kutokana na katika jimbo hilo la Massachusetts hawana adhabu ya kifo kwa hiyo kunauwezekano mkubwa kesi yake ikahamishiwa jimbo lingine.

No comments: