Napenda kumshukuru mungu kwa siku ya leo....... Jumamosi mwanana.....nikiwa mbali na uso wa nyumbani nikiwa ugenini kutafuta riziki......Shukrani za pekee pia kwenu mashabiki zangu wa dhati....maana bila nyinyi si Mimi.....Nashukuru mungu kwa ulinzi wake...nipo salama salimini kwenye jiji la Malkia Elizabeth....nashukuru uongozi mzima kwa mapokezi mazuri na huduma nzuri mimi na dancers wangu.......!!
Nashukuru mungu kwa brekfast mwanana niliyopata na kunifanya nijiskie mwenye ari zaidi...kabla ya kuanza kukatiza mitaa ya jiji hili leye watu zaidi ya maelfu ya wanachi wanaotokea nchini mbalimbali duniani....!!
Nikiwa na dancers wangu....,my oung brother...Mose Iyobo.....around headin to town...au vp bhana.... tuki refresh mind kabla ya kibarua kizito baadae nighyt siku ya leo tarehe 27 april...!!For more Info Stay connected na Blogsite yako ya kijanja ya This is Diamond kwa update zangu na za kijanja zaidi....
3 comments:
washamba bwana utawaona tu wanajidai ku act kama wa nigger ha ha ha
kula bata kula baba na firigisi yake kula baba ponda maisha bado mifupa michanga
unajua mtoto wa kiislamu kuvaa dhahabu si vizuri waulize masheikh au waku wako wa dini ok kama huniamini mimi ok diamond
Post a Comment