ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 17, 2013

Polisi wa Dubai Watumia Lamborghini kama Gari la Doria

 
The £360,000 Lamborghini Aventador has a top speed of 217mph and can go from 0 to 62mph in 2.9 seconds
 
Lamborghini Aventador, Polisi wa Dubai wameanza kutumuia gari hili ambalo lilionyeshwa katika maduka ya kifahari yaliyopo Dubai Mall.
Picha hii ilirushwa kwenye mtandao wa "Twitter" na kuandikiwa "Latest Dubai Police Patrols now at your service" na ikawa trend topic ya mtandao huo.
Wataalam kadhaa wa gari hilo lina uzwa kwa bei ya Pounds 260,000, ina V12 engine, na kufikisha speed ya 217 mph, na inachomoka kutoka 0-60mph katika mda wa sekunde 2.9sec.
Inasemekana magari haya yatatumika katika kutengeza soko lao zaidi kuliko gari la polisi wa barabarani.
dubai-lambo_653
 


No comments: