Ripoti ya CAG yaonesha uwepo wa udhaifu ktik usimamizi wa mapato ya ndani
Ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali inaonesha uwepo wa udhaifu katika usimamizi wa mapato ya ndani licha ya Kupungua kwa hati chafu katika halmashauri na kushauri kuangalia uwezekano wa kuirejesha kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma ikiwa ni pamoja na kuitaka serikali kutoa tamko la kuwaondoa wabunge kuwa miongoni mwa wajumbe wa bodi za mashirika ya umma.
No comments:
Post a Comment