ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

Skylight Band yazidi kutikisa jiji la Dar kwa kishindo.

Joniko Flower na akisindikizwa na Sam Mapenzi pamoja na Sony Masamba kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band katika kiwanja chao cha Nyumbani cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kuanzia wiki hii watakuwa wakipiga show mara mbili Ijumaa ndani ya Thai Village na Jumapili watakuwa katika Kiota cha Escape 11 endelea kuperuzi mitandao tutakujuza zaidi.
Shabiki wa Skylight Band akicheza miondoko ya 'Wachuma chuma' sambamba na Joniko Flower, staili mpya walioyotokanayo Mwanza hivi karibuni.
Sony Masamba akiwajibika kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band wanaburudika vilivyo.
Fans wa Skylight Band mdogo mdogo wakijimwaga kwenye Dancing Floor.
Aneth Kushaba AK47 katika hisia kali ndani ya Kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kulia ni Mary Lukas.
It's Reggae, Raagga and Dance Hall time.....Aneth Kushaba AK 47 akifanya yake na shabiki wake.
Picha juu na chini Aneth Kushaba AK 47 akiwachizisha mashabiki wa Skylight Band.
kwa picha zaidi bofya read more

Party People...Raha za Skylight Band hizo full kujiachia.
Madiva wa Skylight Band wakiwajibika kutoa burudani yenye ubora.
Sam Mapenzi akicheza na shabiki wake.
Sam Mapenzi akiwarusha mashabiki wa Skylight Band.
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukicheza nyimbo inayobamba kwenye vituo vya Televisheni na Radio nchini 'Carolina'.
Joniko Flower akitunza na Pedeshee Bamutu na mapesa yake.
Sehemu ya Familia ya Skylight Band.
Picha juu na chini Umati wa washabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara na Mary Lukas.
Mdau Aziz Hunter akishow love na dada zake.
Mdau Big to the Zee akishow love ne Shemejiiiii 'Wendy'.
Welcome to Skylight Band..... kushoto ni Fans mpya wa Skylight Band kwa mara ya kwanza alitia maguu pande za Thai Village Ijumaa iliyopita.
Washikaji wakishow love.
Ben Kinyaiya na mpiga gitaa wa Skylight Band Allen Kisso wakishow love.
Mwaaaaa....This is for you Skylight Band....We Love you.....!
Ben Kinyaiya na Aneth Kushaba AK47.

No comments: