ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 25, 2013

Spika wa bunge amelazimika kuahirisha mjadala wa bajeti ya wizara ya maji.

Spika wa bunge Mhe. Anna Makinda amelazimika kiahirisha mjadala wa bajeti ya wizara ya maji na kuitaka kamati ya bajeti,hazina , wizara ya maji na kamati ya sekta kufanya kazi ya kutafuta namna ya kuongeza bajeti ya wizara hiyo.

No comments: