ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 26, 2013

Ubalozi wa Uingereza nchini Somalia wafunguliwa tena

Ubalozi wa Uingereza nchini Somalia umefunguliwa tena. Huu ni ubalozi wa kwanza wa nchi za Umoja wa Ulaya kufunguliwa nchini Somalia. 
Na Henry Mdimu.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bw. William Hague amesema, huu ni mwaka wa 22 tangu wanadiplomasia wa Uingereza kuondoka nchini Somalia, na kufunguliwa tena kwa ubalozi huo kutafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

No comments: