Kwa mujibu wa Enquirer Magazine, huyu ndio mtoto wa mwigizaji staa kutoka Nigeria Genevieve Nnaj mwenye umri wa miaka 33 ambae alimzaa wakati akiwa na umri wa miaka 16, kwa sasa mtoto anaishi Marekani na baba yake mzazi, sasa hivi huyu binti atakua na miaka 17.
Mpaka sasa mwigizaji Genevieve ameigiza movie zaidi ya 60 toka alipoanza kuigiza movie yake ya kwanza ya Most Wanted mwaka 1998 ukiwa pia ni mwaka ambao ndio mwaka pekee alioigiza movie moja tu, hii miaka mingine mpaka 2011 ameigiza movie zaidi ya moja, 2003 ndio ameigiza movie nyingi zilizofikia 19.
No comments:
Post a Comment