ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 8, 2013

Watanzania washauriwa kuendeleza utamaduni wa kuchinja wanyama waliourithi kwa mababu

Watanzania wameshauriwa kuendeleza utamaduni wa kuchinja wanyama kama walivyourithi tangu enzi za mababu ili kuliepusha taifa na vurugu na umwagaji damu unaotokana na migogoro ya kidini.

3 comments:

Anonymous said...

Dr, Mengi unaposema kuwa taratibu za uchinjaji tulizorithi toka kwa mababu zetu ni kuwa waislamu ndiyo wanahaki ya kuchinja sidhani kama upo sahihi. Hoja yako ingekuwa na uzito kama ungesema kuwa utaratibu huo umekuwa ukitumika sehemu ambazo uislamu uliingia, maana kabla ya usislamu na ukristu kuingia Africa, hapakuwa na waislamu waliokuwa wanachinja. Mababu zetu waliokula nyama kabla uislamu haujaingia Afrika wanadhambi? Miaka 51 ya uhuru mimi ambaye sina dini siwezi kutumia haki yangu ya kikatiba kujichinjia mwenyewe?

Anonymous said...

Jamani,watz mbona hakuna geni,nakumbuka nikiwa na umri wa kwenda primary school in the 80s,tulikuwa na majirani wa dini tofauti,nachokumbuka,jirani mkristo anazungusha kichwa cha kuku,na akipika anasema mchinjaji nani,kwa hiyo hawapi watoto wa jirani ila akifanya hafla,anakwenda kwa jirani mwislamu/waislam ambao wanajitolea kuwachinjia na wakati wa kula anasema kabisa nani mchinjaji,ni kitu kilichukuwa kimezoeleka kabisa. Nakumbuka majirani waliokuwa washika dini kiislam,walikuwa wanaamua hawali nyama,pilau tu au wanajiexcuse,kila mji na hulka yake na watu waliheshimiana uamuzi wowote.

Anonymous said...

Upuuzi tu... kila mtu ana haki yakufanya analotaka ili mradi havunji sheria... labda kama Tanzania imekua nchi ya kiislamu hapo sawa,, last time i check, Tanzania was still following a secular system of governing and not sharia... why should we entertaining this notion that only muslims have right to slaughter animals? Nooo Mr Mengi you cannot deny christians their constitution rights, they are free like anybody else in their own country, it was tradition to let the muslims slaughter animals but was not a law. christians got tired to see their faith being ridiculed in mihadhara and name calling makafiri mara oooh wagalatia. halafu mnataka na nyama zetu mtuchinjia alaa! have we lost our mind?