Advertisements

Sunday, April 21, 2013

KWA MAOMBI YA WENGI CLIP YA WEMA HII HAPA, SIKILIZA

9 comments:

Anonymous said...

mhhh bongo kuna mambo kwelikweli huyo mtangazaji naye eti ile kilipu hahaha jamani.

Anonymous said...

So he need our approval by telling us his love affairs?this is childish grow up man.

Anonymous said...

JAQMANI ka Diamond kweli kanakili ya kitoto kama anaweza kufanyia Wema hivyo. kama ye kweli hampendi Wema kwanini haishi kuweka picha za wema kwenye video zake??? na uyo mpenzi wake wa sasa hasifikili yeye ndie amefika naye ni wakupita tu, kama walivyopita wakina Wema KinaKidoti na wengine.........

Unknown said...

Toto limbukeni hata mufanye nini hatuwezi umefika Wema

Unknown said...

Diamond Toto limbukeni hata mufanye nini hamuwezi kumfika Wema

Anonymous said...

wanawake tuungane, kitendo alichofanya Diamond ni cha udhalilishaji sana! simjui wema! ila km mwanamke mwenzangu namhurumia, kwani si wanawake ni wadhaifu sana, tukiachwa tunaumia sana! sidhani km kuna mwanamke hajawahi uumizwa! mbaya zaidi anataka kummaliza wema! kweli shule muhimu sana! Diamond angeenda shule sidhani km angefanya hayo aliyofanya! huyo penny naye yatamrudia tu! wanawake jamani! tusipende kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kwani wanaume ni km nyama! Butcher yeyote wanaingia! Penny angekuwa na busara alikuwa na nguvu kubwa ya kumkataza Diamond asitoe hiyo clip, iwe ya uongo au ya ukweli! bt penny alipania kumdhalilisha mwanamke mwenzie Wema hata bila ya huruma! kweli wanawake tunatofautiana!

Anonymous said...

CLIP YENYEWE IMEUNGWA UNGWA YAANI HATA HAINA UKWELI KACHUKUA SAUTI YA WEMA ALIKUWA ANAONGEA MAHALI AKAWEKA NA YAKE HALAF MWISHONI NDIO KACHEMSHA YAANI HATA SIO WEMA KABISA ANAESEMA HALOOO YAANI HUYU DIAMOND KAFANYA HIVI ILI WATU WASAHAU VAGI LAKE LA KUFUMANIWA NA UWOYA, MPUUZI SANA DIAMOND

Anonymous said...

Vijimambo hii bulog tunaiheshimu sana ! Haya mambo ya kilipu inabidi uwe nayo makini sana. Anyway people hii ndio publicity stunt. We dada ulisema wanawake dhaifu una ushahidi ? Mie sina.

Dirt, Dirty South.

Anonymous said...

Hivi jamani mbona huyu mwanaume ni mshenzi?kweli shule inasaidia kama hiki kijimtu kingeenda shule none of this would have happened.Kwanza alivyo mbaya,mfupi domo lile kama choo cha bibi yake huko kigoma,nakama huyo penny alikuwa na busara that nite alivyopewa simu amalizane na Wema asingeichukuwa angeongea na hicho kijimtu chake huko chumbani wamalizane wao,yaani wamejichoresha kishenzi.Kwanza nilikaa tena chini na kuuisikiliza ile clip again,sijasikia Wema anaongea na kusema anaomba warudiane isipokuwa ni hicho kiDiamond kilichokuwa kinasema sitaki againi sitaki na kumpa huyo mjinga wange penny aongee na Wema.Mimi kama mwanaume nimemdharau sana mwanaume mwenzangu kufanya kitendo cha namna ile,I love my wife I will never do such a thing,hata kama nilikuwa nampenda vipi na tumeachana,I will let her go and leave my life sasa amepata faida gani zaidi ya kuumbuka?Aibu tupu Diamond nenda shule ukapate elimu ni muhimu itakusaidia katika maisha yako ya baadaye namuonea huruma huyo penny na hiyo mimba yake.Wema stay strong this was just a set up,Diamond bado anakupenda sanaaaaa alikuwa anatafuta wapi aanzie nani kweli kama ulivyosema anatafuta kiki from you,that is true.Wema ni star bongo,Diamond huwezi kumfikia Wema hata siku moja nenda ukafanyiwe surgery ya mdomo urudi hali ya binadamu wa kawaida,na ukanunue raizoni uvae uwe mrefu.Pole kaka umejiharibia mwenyewe umepoteza soko(wateja) katika show zako,POLE.