Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd, inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Tao Jian. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, mgodi huo utaanza kuzalisha madini hayo ya Chuma na Makaa ya mawe mwaka 2019.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd, inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Tao Jian.
Tao Jian akiwaonyesha Kinana na msafara wake, ramani linalofanyiwa kazi na kampuni yake katika kutafiti aina na kiasi cha Chuma kitakachoweza kupatikana Liganga
Mabosi wa Kampuni ya Kichina inayofanya utafiti wa aina na kiasi cha chuma kitakachopatikana Liganga, wakitoa maelezo ya jumla kuhusu mradi huo unavyoendelea
3 comments:
Nchi ishauzwa hiyo, kwishney!! makaa ya chupa-wajapani, Tanzanite-wazungu wa south Africa, Gesi-bado mkataba haujasema anapewa nani?. sasa nyie watanzania kilichobaki ni kujipangaaaaa!!!!! EEh Mungu saidia watanzania wooote na familia zao.
INGEUWA VIZURI KAMA WANGEOGOZANA NA MTAALAMU WA KITANZANIA.HII NI BIASHARA.TUNAPASWA KUIONA HIVYO NA KUJIPANGA ILI NASI TUNUFAIKE NAYO.UMEONGEA VIZURI-KUJIPANGA;TUNAANZIA WAPI NA KWA UTARATIBU UPI
INGEUWA VIZURI KAMA WANGEOGOZANA NA MTAALAMU WA KITANZANIA.HII NI BIASHARA.TUNAPASWA KUIONA HIVYO NA KUJIPANGA ILI NASI TUNUFAIKE NAYO.UMEONGEA VIZURI-KUJIPANGA;TUNAANZIA WAPI NA KWA UTARATIBU UPI
Post a Comment