Baada ya Bw. Ruge Mutahaba kuzungumza asubuhi ya leo kuhusu kinachoendelea na mwanamuziki Lady JayDeekwenye mitandao tofauti ya kijamii
Sasa, kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii Jide amefunguka kwa mara nyingine kwa kuandika haya ... "Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhu
1 comment:
Nakuheshimu sana lady JAYDEE kama mwanamuziki/Msanii mahiri sana. Najua japo si yote yaliyokukera sana hata ukafikia uamuzi wa kuongea yaliyo moyoni. Kwa kiasi ulichoongea kuhusu migongano iliyopo baina yako na akina Julius na Ruge, nina imani wapenzi wako na umma wote kwa ujumla wako upande wako. Sasa ushauri wangu kwako ni Concentrate in you work and business maana una nafasi kubwa sana ya kuuhakikishia umma kuwa una kipaji tosha cha kukuwezesha kusonga mbele bila kumtegemea mtu ILA MUNGU WAKO TUU. Acha malumbano piga kazi "watu" majibu watayapata while you are on your way to the TOP....I was just saying!!!!
Post a Comment