ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 16, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO KATIKA PICHA JIKUMBUSHE KIDOGO MOJA YA ALAMA HIZI

Mnara wa Askari - Dar es Salaam
Mnara wa Askari - Dar es Salaam
Mnara wa Dodoma
Saa ya Morogoro
Mnara wa Mbeya
Mnara wa Saa wa Kilimanjaro
Samaki - Mwanza
Mnara wa Saa wa Arusha
Arusha

1 comment:

Anonymous said...

UMENIKUMBUSHA HOME SWEET HOME EBWANA EEH LUKE WEWE MWISHO YANI LEO HII KUTWA NASHINDA KWENYE MTANDAO NA KUKODOLEA MACHO PICHA HIZI SEHEMU ZOTE KWETU ARUSHA NIMEKAA NA KUSOMA DAR NDO KWETU, MOROGORO NIMESOMA KILIMANJARO NIMESOMA,DODOMA NIMEFANYA KAZI MWANZA PIA NIMEFANYA KAZI YANI ACHA WEEE

AHSENTE MKUUU HOME SWEET HOME