Advertisements

Tuesday, May 21, 2013

HII NDIYO NDEGE ANAYOTEMBELEA RAIS WA MAREKANI KWA JINA AIR FORCE ONE

Ndege hii ya rais wa Marekani aina ya Air Force One itatua katika ardhi ya Tanzania mwanzo mwa mwezi  wa 6 rais huyo wa Marekani itakuwa ziara yake ya kwanza katika ardhi ya Nyerere toka achaguliwa kuwa rais wa Marekani. Inasemekana kuwa Jiji la Dar...kumesha sheheni mashushu wa kimataifa na madhari ya jiji hilo yameanza kupambwa kwa bendera za taifa hilo linaloheshimika duniani kote kuanzania uwanja wa ndege wa Nyerere hadi katika kati ya jiji la Dar-Es-Salaama.

No comments: