Friday, May 17, 2013

Home made food kwa wakazi wa Massachusetts na vitongoji vyake

 
Biryani
Naitwa Salma napika vyakula mbalimbali vya Kitanzania zaidi ya hivyo unavyoona kwenye picha kwa bei nafuu naishi mji wa Newton kwa mahitaji ya chakula cha nyumbani au sherehe nafadhali wasiliana nami  617 965 0629
Sambusa
Samaki
Ugali
Chapati

1 comment:

Anonymous said...

hatuna tena haja ya kwenda bongo kuvila vyakula hivi wapishi tuona hapa hapa marekani mashallah watanzania si mchezo mashallah hongera sana salma nitakuja kuweka order na kuchukua take away

mdau NY