Thursday, May 2, 2013

JE LADY JAYDEE" ,KWA UJUMBE WAKE YUPO SAHIHI KWELI, AU NDIO UNAELEKEA KUPOROMOKA KIMUZIKI NA KIMAISHA?"

"SIKU NIKIFA RUGE MUTAHABA NA KUSAGA WASIHUDHURIE MAZISHI YANGU"....LADY JAYDEE"

8 comments:

Anonymous said...

I think jaydee ana over exaggerate beef yake na kina ruge na kusaga. Kama kweli walimuuanza ten years ago kwa nini ajitokeze sasa hivi?
Hapa kuna vitu viwili, moja ni kuchuja kisanii na kibiashara anatafuta lift through beef ili arudi juu na kama mnakumbuka hata 50 cent alikua kila akitaka kutoa album lazima atafute high profile beef ili apate attention na auze cd na Pili mmewe alikua mwajiliwa wa cluds fm then akaacha I think kusaga didn't like that kwa hiyo kuna kinda of retribution hapa inaendelea na sasa huyo mmewe anatangazia rivalry radio station ya times fm
Mwisho wa siku kina kusaga wana control bongo music maana wako karibu sana na serikali lakini they won't be doing this forever dawa yao soon itapatikana
Mdau wa Washington dc

Anonymous said...

When is she expecting to die, anyway? People whom she is addressing don't look like they care whther she is dead or alive.

Anonymous said...

Mdau wa Washington DC acha kujichanganya, ongea kiswahili mkuu.

Anonymous said...

Lazima iko namna hapo...Whether Jay Dee yuko right ama la...kitaeleweka baadae.Ila She has been in the business long na inabidi ujiulize walishindwa kuelewana nini hadi akamtema huyo manager wake wa awali.Inawezeka siku zote alikuwa anayaona ila alijua akitikisika tu watammaliza kwa hiyo ikabidi aifumbie macho mpaka alipoona sasa nimesimama.Na inawezekana pia ana mpya zao alizozipata zilizofanya yeye kutamka aliyoyatamka.Ila ukiwa kwenye biashara ya aina yoyote lazima ukubali ushinde...Acheni kukandamizana kiuchumi.

Anonymous said...

Jee Sugu/ Mr 2. now mbunge aliposema nae ilikua sababu ya kuporomoka kimuziki ???

Anonymous said...

We anon wa kwanza acha mawazo yakitumwa. Kuwa karibi ya serikali ndio nini? Haki ni haki tu haiombwi. Huu mpito wa miaka mitano mitano usikutishe ukawa muoga. Kama Jide ana basis kwenye hoja yake yeye aisimamie. Na kama clouds wanaamini hawajafanya chochote kibaya na wao vilevile.
Amelaaniwa yeyote amtegemeae mwanadamu.

Anonymous said...

huyu kusaga simwamini hata sumni!

Anonymous said...

Nadhani yuko sawa na malalamiko yake na anastahili kusikilizwa. Ila kwamba siku akifa hilo silielewi maanake anaweza ishi maisha marefu tu kwa jinsi Mungu alivyopanga.