Thursday, May 23, 2013

JULIUS MANASE AKAMATA NONDOZ

Julius Manase (watatu toka kushoto) akamata Nondoz ya Masters of Science in Systems Engineering Kutoka Johns Hopkins University iliyopo Maryland nchini Marekani
Julius Mananse wakati wa maafali ya chuo cha Johns Hopkins Jumatano May 22, 2013
Julius Manase akiwa amekamata Nondoz ya Masters of Science in Systems Engineering Kutoka Johns Hopkins University.
Julius Manase (wasita toka kushoto) akiwa na wenzake kwenye maafali ya chuo cha Johns Hopkins siku alipokamata Nondoz ya Masters of Science in Systems Engineering Kutokachuoni hapo
Julius Manase akiwa na mama mwenye nyumba wake na watoto wao
Kwa picha zaidi bofya read more

4 comments:

Anonymous said...

Haya ndio mambo tunataka...hongera kaka

Anonymous said...

Hongera kaka wa shabarn robert sec school.Kwa kweli hongera sana,Nakumbuka shule ulikuwa msongo sana.Hayo ndio matunda yake wapi wale wasongo wenzio Game passarow Guni bendera na Jimmy kileo na jimmy mwingine victor na eric mfinanga hivi ndivyo vichwa navikumbuka mlikuwa mabishoo lakini mmejaza akili kichwani mwingine alikuwa mpeli kilindu

Anonymous said...

mama mwenye nyumba wake ndo nini tena ni kiswahili au kiswahili cha kubuni? mnatuharibia kiswahili chetu bwana watu wa mwabao ndo lugha yao

Anonymous said...

Hongera sana kaka, am so proud of you,mungu aendelee kukubariki