Monday, May 20, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE

 Kesho Jumanne May 21, 2013 kipindi chako ukipendacho KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitakuwa hewani kama kawaida picha wanakijiwe wakiwa kwenye kipindi kwa ajili ya kurekodi. kutoka kushoto ni Benja Mwaipaja, msanii wakucheza na nyoka, Salma Moshi, Eliza Luhanga na Yasin Randi.
 Eliza na Yasin wakichangia jambo kwenye Kijiwe kitakachorusha kesho Jumanne.
Benja na Salma Moshi wakilumbana kwenye Kijiwe Kesho ndio kesho wakina baba wamekabwa koo na akina mama wameshindwa kufurukuta imebidi wakimbie kipindi USIKOSE

No comments: