ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 15, 2013

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO


 Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Abdallah Kigoda akiwasilisha bajeti ya Wizara yake Bungeni Mjini Dodonoma May 15,2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema , Godbless Lema, Bungeni Mjini Dodoma May 15,2013.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na  Mbunge wa  Viti Maalum, Margaret  Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, May 15, 2013.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na  Mbunge wa  Viti Maalum, Margaret  Sitta (katikati ) na Mbunge wa Korogwe, Stephen Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, May 15, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya AVIC International Ya Beijing China, Bibi Yab Qiong (watatu kushoto), Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya CATIC ya Beijing China, Johnson Wang (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CATIC nchni, Bw. Simon Xu, ofisini kwake mjini Dodoma, May 15, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: