Lile Ghorofa lillobomoka miaka minne iliyopita hatimaye sasa vifusi vishaanza kutolea kama unavyoona kwenye picha juu na na chini na mtu mmoja alipoteza maisha wakati likianguka na kuachwa hinvyo kwa muda mrefu kwa kisingizio wahusika hawakua pesa za kuondolea mabaki ya ghorofa hilo. Mwenye ghorofa hilo alishafariki wanaolimiliki ni watoto. na hatukuweza kumpata muhusika kuelezea kama sasa patajengwa ghorofa lingine au ndio ikawa mwisho wa hadithi "hapo zama za kale tulikua na ghorofa"
Mabaki ya ghorofa hilo yamerundikwa karibu kabisa na transmission tower ya simu za mkononi ambapo pana generators na mafuta!!!
No comments:
Post a Comment